CHRIS BROWN AKATAA KUIMBA WIMBO WA TAIFA.

0

Msanii wa RnB kutoka nchini Marekani, Chris Brown amekataa kusimama na kuimba wimbo wa taifa la Marekani wakati alipohudhuria mechi moja ya basketball.

Chris Brown si staa wa kwanza kukataa kuimba wimbo wa taifa la marekani kwani majuzi mchezaji mmoja maarufu katika ulimwengu wa mchezo wa Amrican FootBall alikataa kusimama na kuimba wimbo wa taifa akilalamikia dhulma kwa wa amerika weusi.

download-63

Nchini Marekani hakuna sheria inayolazimisha mtu kuimba wimbo wataifa kama hajiskii.

Je, kunaulazima wa kusimama kuimba wimbo wa Taifa?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND AZUNGUMZIA UHUSIANO NA BABAKE

Diamond Platnumz amekanusha madai yaliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba hamsaidii babake mzazi . Akizungumza baada ya kutoka mahakamani kuskiliza kesi ya malezi ya mtoto ...
Skip to toolbar