CHIKUZEE AFICHUA WASANII ANAOTAMANI KUFANYA COLLABO NAO

0

Msanii mkubwa kanda ya pwani Chikuku Abdhallah aka Chikuzee amefichua baadhi ya wasanii ambao anatamani sana kufanya nao kazi.

Chikuzee ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake kwa jina “Kichungu”, anasema baadhi ya wasanii anaotamani kufanya nao kazi mwaka huu ni pamoja na Stamina kutoka nchini Tanzania.

Chikuzee aidha amefichua kuwa jijijni Nairobi, wasanii kama Wyre na Khalligraph ni miongoni mwa wasanii angependa kutoa kazi mpya nao.

Chikuzee ametaja uwezo wao wa kimziki kama moja wapo ya sababu kuu zinazomfanya kutamani sana kuingia booth na kushirikiana na wasanii hawa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar