CHAMELEONE AFICHUA ATAKACHOFANYA AKISTAAFU MZIKI.

0

Msanii mkubwa nchii Uganda Jose Chameleone amefichua kitu angependa kufanya baada ya kustaafu katika mziki.

Jose Chameleone anasema angependa kuingilia ukulima wa ufugaji ambapo anapania kumiliki idadi kubwa ya mifugo.

Jose Chameleone anasema yeye hupenda kulisha mifugo na haoni kama itakua vigumu kwake kujiingiza katika ufugaji iwapo atapa nafasi katika miaka ya mbeleni.

Katika taarifa za awali kumhusu, Jose Chameleone amewahi kunukuliwa akidai anamiliki vipande vikubwa vya ardhi na anjihusiha na biashara kilimo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar