CASSPER NYOVEST ATIMIZA HILI.

0

Rapper Cassper Nyovest kutoka nchini Afrika Kusini amekua msanii wa kwanza nchini Afrika Kusini kufikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Mpinzani na hasimu wake, rapper AKA bado anacheza kwenye followers laki  7 katika mtandao wa Instagram.

Hata hivyo AKA amemshinda Cassper kwenye idadi ya followers katika mtandao wa Twitter kwani ana followers milioni 1.2, mara mbili ya followers alionao rapper Cassper.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

 NANDY APANGA KUACHA MZIKI.

Msanii wa kike nchini Tanzania Faustina Charles Mfinanga alimaarufu Nandy amefunguka  kuwa anajipanga kuachana na maswala ya mziki miaka kadhaa ijayo. Nandy amefichua kuwa alipanga kufanya ...
Skip to toolbar