CASHY ATHIBITISHA KUTENGANA NA KHALIGRAPH JONES

0

Rapper wa kike mwenye makao yake jijini Nairobi Cashy amekataa kuzungumzia kiini kilichopelekea kutengana na aliyekua mpenzi wake rapper Khalligraph Jones.

Cashy ambaye alisifika baada ya kufanya collabo na Khalligraph katika wimbo “Micasa Su Casa”  INSERT anasema ameamua kunyamaza ili asieleweke vibaya na uma.

Khalligraph alitangaza kutengana na Cashy mwezi April lakii pia hakufichua sababu iliyopelekea kutengana kwao huku tetesi za cashy kubeba mimba ya mwanamume mwengine zikizagaa mitandao ya kijamii.

Majuzi Khalligraph alimtambulisha mpenzi wake mpya kwa uma.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar