CARDI B ATHIBITISHA NI MJAMZITO

0

Rapa mkali wa Kike kutoa USA Cardi B ametangaza rasmi kuwa ni mjamzito.

Cardi B amefichua kua anategemea kupata mtoto wake wa kwanza na mchumba wake OFFSET wa kundi la MIGOS.

OffSet ni baba wa watoto watatu na wanawake tofauti, watoto wawili wa kiume Jordan na Kody, mmoja wa kike  Kalea Marie.

Cardi B alificha taarifa hizi kwa zaidi ya miezi miwili sasa akiwa wakati alikuwa akijipanga kutoa album yake ya kwanza ya Invasion of Privacy.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

QUEEN DARLEEN AZUNGUMZIA NGONO

Msanii wa kike kwenye Label ya wasafi Queen Darleen amewashangaza wengi baada ya kudai kuwa hawezi kukaa mda mrefu bila kushiriki ngono. Kwenye mahojiano ya ...
Skip to toolbar