BOSI WA CANDY & CANDY MAHAKAMANI TANZANIA

0

Je, unaikumbuka kampuni moja ya kusimamia wasanii iliyowahi kuvuma kanda ya pwani kwa jina Candy & Candy?

Kampuni hii ilivuma kanda ya pwani baada ya kusajili wasanii kama Fat S na wengineo na kuwaahidi ufanisi katika tasnia ya mziki.

Baadae kampuni hii ilisambaratika na kuwaacha wasanii wapwani mataani na kutoweka katika ramani ya mziki.

Sasa taarifa za punde ni kwamba bosi wa kampuni ya Candy & Candy, Joe Kairuki jana alisomewa mashtaka yanayomkabili akiwa amelazwa katika hospitali moja eneo la Arusha nchni Tanzania.

Wakili wake kwa jina John Malya, anasema Joe alikamatwa na polisi wa Tanzania baada ya kesi yake ya awali kutupiliwa mbali na mahakama ya Arusha.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CHAMELEONE ANUNUA GARI JIPYA

Msanii mkubwa nchini Ugandan Jose Chameleone ameonyesha gari lake jipya aina ya Mercedes-Benz C-Class alilonunua majuzi ktokanchini Uingereza. Akionyesha gari hilo lenye thamaniya shilingi milioni ...
Skip to toolbar