BOLT ANASWA CLUB AKIBUSU MWANAMKE WA PILI WIKI HII.

0

Hizi ni taarifa zinazoshangaza wengi ikiwa ni ndani ya wiki mmoja mshindi mwenye rekodi kubwa ya mashindano ya Olympic Usain Bolt amepigwa picha kwa mara ya pili akiwa na mwanamke tofauti mji Rio kwenye club moja.

a2-2

Picha hizo zimesamba siku moja baada ya Usain kuonekana kwenye picha za mahaba na msichana mwengine anayedaiwa kuwa mwanafunzi mwenye miaka 20 katika klabu nyengine jijini Rio.

Mpaka sasa hakuna tamko lolote kutoka kwenye kambi ya Bolt kuhusu taarifa hizi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar