BOBI WINE AANZA KAZI YAKE MPYA! JE NI KAZI GANI?

0

Msanii mkubwa nchini Uganda Bobi Wine amenza kazi rasmi kama mbunge katika bunge la taifa Uganda.

Bobi Wine ambaye alishinda kiti cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa eneo la bunge la Kyadondo mashariki majuzi, aliapishwa kabla ya kuanza rasmi kutumikia watu wa Kyadondo mashariki.

Bobi Wine tayar ameteuliwa kuhudumu katika kamati ya bunge inayosiamimi shughuli za  rais.

Bobi Wine alitumia akaunti zake za mitandao ya kijami kujulisha mashabiki wake kwamba tayari akazi yake imeanza na kuelezea furaha yake ya kutumikia wananchi wa Uganda kama mbunge.

Bobi Wine alishnda uchaguzi mdogo baada ya kujipatia kura zaidi ya elfu 25 huku mpinzani wake wa karibu akiwa na kura elfu 4.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar