BIRDMAN AMPIGIA MAGOTI LIL WAYNE !

0

Rapper Birdman ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya muziki ya Cash Money Records amemuomba msamaha rapper Lil Wayne wakiwa jukwaani mjini New Orleans, Marekani.

Lil Wayne na Birdman waliingia katika bifu zito mwaka 2016 ambapo Lil Wayne alimtuhumu Birdman kuwa amekiuka masharti ya mkataba wake ndani ya Cash Money na kuzuia album yake ya ‘Tha Carter V’ kutoka mpaka alipwe dola milioni $51.

Hata hivyo, imeelezwa kuwa Birdman na Lil Wayne kufikia hatua ya kusameheana ni dalili tosha kuwa album hiyo ya ‘Tha Carter V’ huenda ikatoka mwishoni mwa mwaka huu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RAYMOND AZAWADIWA GARI

Jana August 22 kumbe ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii Raymond (Rayvanny) kutoka Wasafi Records. Inaarifiwa jana usiku kulifanyika bonge la party kusheherekea siku ...
Skip to toolbar