BILL NASS AELEZEA UHUSIANO WAKE NA ALI KIBA

0

Rapa Bill Nass wa nchini Tanzania amefichua aina ya uhusiano alionao na msanii Ali Kiba.

Bill Nass amemtaja Ali kiba kama miongoni mwa wasanii anaopata usaidizi mkubwa kimziki kutoka kwao.

Bill Nass anasema Ali Kiba humpa ushirikiano mkubwa katika kila jambo ambalo analofanya, hususan katika harakati zake  za kimziki.

Rapa huyu aidha amefichua anapanga kufanya kazi na Ali Kiba siku za usoni.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar