BILIONEA AFARIKI AKIONGEZWA UKUBWA WA UUME WAKE!

0

Bilionea mmoja maarufu anayejishughulisha na biashara ya almasi duniani amefariki akifanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa uume wake nchini Ufaransa.

Ehud Arye Laniado, mwenye umri wa miaka 65, anaripotiwa kufariki siku ya Jumamosi katika hospitali moja ya kibinafsi kwa jina Avenue des Champs-Elysees jijini Paris mji mkuu wa Ufaransa.

Marehemu Laniado inaelezwa alifariki baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo akifanyiwa upasuaji wa kuongeza uume wake, alipo kudungwa dawa flani katika uume wake

Kampuni ya Marehemu Laniado yenye makao yake makuu nchini Ubelgiji imethibitisha taarifa hizi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar