BIFU KATI YA DRAKE NA PUSHA T LAZIDI KUPAMBA MOTO

0

Mkali wa Hip Hop nchini Marekani Pusha T na Rappa Drake kutokea Canada wanaendeleza uhasama baina yao.

Karibuni Pusha T ametumia picha ya Drake kama cover ya wimbo wake wa “The story of Adidon” ambapo pia amezua madai kwamba Drake ana mtoto wa nje aliyemtelekzea.

Drake amejibu kupitia instagram account yake akieleza kuwa picha anayotumia Pusha T ni ya kitambo wakati akiwa muigizaji.

Kufikia sasa Pusha T ametoa ngoma mbili huku Drake akiwa na moja, mashabiki wakingojea kwa hamu kuona Drake atajibu vipi kwa wimbo wa pili.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND AZUNGUMZIA UHUSIANO NA BABAKE

Diamond Platnumz amekanusha madai yaliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba hamsaidii babake mzazi . Akizungumza baada ya kutoka mahakamani kuskiliza kesi ya malezi ya mtoto ...
Skip to toolbar