BIEN WA SAUTI SOL AFICHUA HILI KUHUSU MAISHA YAKE.

0

Msanii Bien Aime ambaye ni mwanamziki kutoka kundi la Sauti Sol amefichua kisa cha kushtusha katika maisha yake binafsi.

Bien anadai aliwahi kupoteza meno 15 kwa wakati mmoja baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani.

Bien ameeleza kuwa aliwahi kugongwa na gari akitembea katika barabara ya Kenya Cinema jijini Nairobi na aling’oka meno mengi baada ya kuanguka vibaya barabarani.

Bien amefichua kuwa tukio hilo ndilo linalopelekea uoga wake linapokuja swala la kuvuka barabara katika maisha yake ya sasa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

ZARI AMUANIKA DIAMOND. KULIKONI?

Mwanamama Zari The Boss Lady ametupa dongo kwa aliyekua mpenziwe na mzazi mwenziwe msanii wa Tanzania Diamond Platnumz kuhusiana na utajiri wake. Akijibu kauli ya ...
Skip to toolbar