BEYONCE NA JAY Z KUFANYA HIVI PAMOJA.

0

Couple ya wasanii Beyonce na rapper Jay Z imezidi kuimarika baada ya kuzagaa kwa tetesi kwamba ndoa yao haiko sawa.

Wasanii hawa sasa inaarifiwa wameamua kuweka hisia zao pamoja na kuamua kufanya album moja.

Album hiyo ya Jay Z na mke wake Beyonce inaripotiwa kukamilika na inatarajiwa kuachiwa kwenye mtandao wa Tidal hivi karibuni.

beyonce-jay-z-lemonade-cheating-response-album-2016

Mapema mwezi  April, Beyonce aliachia album yake ambapo kulingana na mashairi ya baadhi ya nyimbo zake, yalizua uvumi kwamba Jay Z amewahi kumsaliti kimapenzi Beyone kwa kutoka na wanadada Rachel Roy pamoja na Rita Ora aliyebatizwa jina ‘Becky with the good hair’.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar