BEYONCE ATAKA MILIONI 208 KUIMBA

0

Staa wa soka wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Wales, Gareth Bale anaripotiwa kuwa katika maongezi na msanii Beyonce ili msanii huyu atumbuize kwenye harusi yake mwakani.
Inasemekana Beyonce anataka kulipwa zaidi ya pauni milioni 1.5, ambazo ni sawa zaidi ya milioni 208 pesa za Kenya ili kutumbuiza kwenye harusi ya Gareth Bale.
Gareth na baby mama wake Emma Rhys-Jones, wanatarajiwa kufunga ndoa mwaka 2018.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AFANDE SELE ATAMANI KANUMBA ACHOMWE

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na ...
Skip to toolbar