BEN POL APIGA PICHA AKIWA UCHI. ITAZAME HAPA.

0

Ni kawaida wasanii kupiga picha kadhaa katika harakati za kuupatia wimbo wao mpya promo kwa mashabiki.

Hata hivyo, msanii Ben Pol amewasha moto wa maneno katika mtandao wa Instagram, baada ya ku’post picha moja akiwa uchi.

Kupitia akaunti yake ya instagram, Pen pol ametupia picha iilyopigwa ikionyesha mgongo na mikono yake ikiwa imefungwa kamba nyuma, lakini akiwa kaketi uchi na kuonyesha makalio yake.

Baadhi ya mashabiki wameonyeshwa kukerwa na picha hii na hawakua na maneno mazuri kwa msanii Ben Pol.

Je kwa nini wasanii wa sik hizi hupenda kufanya vituko kupatia kazi zao mpya umaarufu miongoni mwa mashabiki?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar