BELLE 9 ASEMA HUPENDA WAREMBO AINA HII

0

Msanii wa Bongo Flava, Belle 9 ameeleza kuwa hupenda warembo wenye makalio makubwa katika video zake.

Belle 9 amefichua kuwa haa mrembo anayeonekana kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Dada’ yeye ndiye aliyemchagua.

Muimbaji amefichua kua hupenda warembo wa ina hiyo kutokea kwenye video zake sababu huleta mvuto zaidi katika video zake.

Itakumbuka Belle 9 ndiye aliyemtambulisha marehemu Agnes Masogange aliyesifika kwa maumbile yake katika tasnia ya models wa video nchini Tanzania baada ya kumhusisha katika wimbo wake Masogange.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

H_ART THE BAND WANUSURIKA KIFO

Kundi la wasanii wa kiume la H_Art the Band waliouvuma na kibao chao uliza kiatuwamehusika katika ajali. Kulingana na taarifa, Mordecai Kimeu, Wachira Gatama na ...
Skip to toolbar