BEEF YA DIDDY NA DRAKE IMEISHA.

0

Beef kati ya Drake na Diddy  imeianaonekana kuisha baada ya Diddy kahudhuria show ya Drake ya ‘Summer Sixteen’.

Drake na Diddy waligombana mwaka 2014, baada ya wote kupewa wimbo wa “0 to 100 / The Catch Up,” ambapo Diddy alikuwa na imani kuwa Drake alimuibia wimbo huu.

Inasemekana Drake na Diddy walimaliza tofauti zao kupitia maongezi ya simi wiki hii jambo lililopelekea Diddy kuhudhuria show ya Drake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CHID BENZ ADAIWA KUFANYA HIVI

Wakati wadau wa muziki wakifahamu kuwa msanii wa Hip Hop nchini TZ, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya ...
Skip to toolbar