BEBE COOL ADAI KUNA NJAMA YA KUMUANGAMIZA.

0

Msanii mkubwa nchini Uganda Bebe Cool hatimaye amezungumzia kisa ambapo rafikiye wa karibu msanii Dizzy Nuts alipoteza maisha yake.

Bebe Cool amefichua kua msanii Dizzy Nuts alifarikibaada ya kugongwa na gari moja lililotoroka baada ya kisa hicho.

Bebe Cool anadai dereva wa gari hilo alitaka kumgonga kimaksudi lakini alimkosa na kumgonga msanii Dizzy Nuts na rafiki yao mwengine kwa jina Kato Hassan ambaye alivunjika mguu, kabla ya gari kutoweka.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar