BARNABA : KUMPA MWANAMKE FEDHA SI KUHONGA.

0

Msanii wa Bongo Flava, Barnaba anasema kitendo cha mwanaume kumpatia mwanamke fedha si kuhonga bali ni zawadi kitu ambachoi ni kawaida katika maisha yake ya kila siku.

Barnaba ameeleza hatua ya mwanaume kumpatia mwanamke fedha ni sawa na mwanamume kumpatia maua msichana anayempenda.

Baranaba anasema mwanamke ni ua ambalo linahitaji kumwagiwa maji ili linawiri na kukua na pesa ni moja wapo ya aina ya maji unawewza kutumia kutunza ua lako.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar