BANKY W AFANYA HILI

0

Msanii wa Nigeria, Banky Wellington maarufu kma Banky W na Adesua Etomi rasmi ni mke na mume kisheria.

Wawili hao wametambulika rasmi na serikali kuwa ni wanandoa baada ya siku ya Jumatatu  kusaini hati za kisheria za ndoa katika sherehe binafsi.

Wawili hao walifunga ndoa yao ya kimila jijini Lagos.

JIUNGE NAMI KUPITIA  
Twitter: @BaloziTeddy     
Instagram: @teddymwanamgambo     
Facebook: Teddy Mwanamgambo

KUSKIZA Radio Kaya BOFYA HAPA >>> : RADIO KAYA 

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

SIHITAJI KIKI ZA KOLABO

Rapa Godzilla a.k.a King Zilla amesema hataki kolabo na mtu yoyote na taarifa ziwafikie kuwa kwa sasa anakuja na album mpya. Godzilla amefunguka na kusema ...
Skip to toolbar