Hatimaye msanii wa Ben Pol kutoka nchini Tanzaniaamekiri kuwa katika mahusiano na binti mmoja raia wa Kenya kwa jina Anerlisa Muigai.
Katika mahojiano ya katika kituo kimoja cha radio nchini Tanzania, Ben Pol ameeleza kuwauhusiano katika yake na Bi. Muigaini zaidi ya urafiki wa kawaida na kwamba mbali na kazi, yamo mapenzi ndani yao.
Anerlisa Muigai ni binti ya mmliki wa kampuni yakutengeneza pombe ya Keroche nchin Kenya na pia anamiliki kampuni yake ya maji ya chupa kwa jina Executive.
Ben Pol amekuakama balozi wa bidhaa za kampuni ya Arnelisa ambapo amezuru sehemu tofauti za Kenya aki Promote maji hayo.
Hata hivyo Bi. Arnelisa siku za nyuma amekua akipinga na kukataa kufichua ukweli kuwahusu.
No comments