AVRIL AFICHUA UMRI WAKE! HUTAAMINI!!!

0

Msanii wa kike mwenye makao yake jijini Nairobi Avril amewashangaza wengi mitandaoni baada ya kufichua umri wake halisi.

Kinyume na tabia ya mastaa wengi wa kike, Avril amefichua kuwa kwa sasa ana miaka 32 na karibuni atatimiza miaka 33.

Avril ambaye alijifungua mtoto majuzi, amefichua umri wake katika mahojiano ya kituo kimoja cha radio jijijni Nairobi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar