Thursday, March 28, 2024
Home Authors Posts by admin

admin

270 POSTS 0 COMMENTS
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

Afungwa Miaka 2 Kwa Kula Nguruwe.

0
Mwanamitandao mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 2 jela pamoja na faini, baada ya kula nyama ya nguruwe nchini Indonesia. Lina Lutfiawati ambaye ni anajitambulisha kama...

Afungwa Jela Miaka 11,196. Kwa nini?

0
Raia mmoja wa Uturuki kwa jina Faruk Fatih Özer ameingia katika vitabu vya kumbukumbu ulimwenguni baada ya mahakama mmoja nchini Uturuki kumhukumu kifungo cha...

Abiria Ajinyelea: Ndege Yalazimika Kutua Ghafla.

0
Ndege moja ya abiria nchini Marekani imelazimika kutua kwa ulazima baada ya abiria kujinyelea ndani ya ndege hio. Kulingana na taarifa nchini Marekani, ndege aina...

Ashikwa Na Minyoo Ya Ubongo. Atolewa Ukiwa Hai.

0
Mwanamke mmoja raia wa Australia amekua binadamu wa kwanza kutolewa mnyoo ulio hai kutoka kwa ubongo wake na kuendelea kuishi. Mwanamke huyo mwenye umri wa...

“Tasnia Ya Mziki Pwani Imejaa Washikadau Wavivu” – Amz

0
Producer mkongwe wa mziki kutoka ukanda wa pwani Amz ametoa changamoto kwa washikadau tofauti wa tasnia ya mziki kanda ya pwani kuacha uvivu na...

“Dancehall Kama Mziki, Bado Haujafifia. Unaofifia Ni Mziki Wa Jamaica” –...

0
Mkereketwa wa mziki wa Dancehall kutoka ukanda wa pwani Vincent Kras anadai kuwa mziki wa Dancehall bado haujadorora kama wengi wanavyodai, bali mziki wa...

VISIMA SOKONI

0
Mwakilishi wadi ya Sokoni, eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Ray  Mwaro, anasema tatizo la maji linalokumba wakazi wa eneo hilo litapata...

MUSA UKAME

0
Mshirikishi wa mamlaka ya kudhibiti ukame NDMA kaunti ya Tana River Abdi Musa anasema wakazi zaidi ya elfu 120 kaunti hiyo wanahitaji chakula cha...

USALAMA WATOTO

0
Idara inayosimamia maswala ya watoto  eneo la bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi inawataka wazazi kuhakikisha wanawalinda watoto wao wakati huu wa likizo...

POMBE KILIFI

0
Polisi wa eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi wanamenasa pombe haramu yenye thamani ya shilingi milioni 2. Kulingana na kaimu kamishina kaunti ya...
5,201FansLike
2,079FollowersFollow
8,262FollowersFollow
4,130SubscribersSubscribe
- Advertisement -

EDITOR PICKS