ASLAY ASEMA MZIKI UNACHOKESHA

0

Msanii wa Bongo Flavaz Aslay anadai kwa sasa anafanya kazi mfululizo bila ya kupumzika.

Aslay ameeleza  kua kutokana na muziki kuwa sehemu ya maisha yake sasa amejikuta kila siku yupo studio, kama sivyo studio yupo lokesheni anafanya video na kama sivyo yupo kwenye shoo majukwaani.

Aslay kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wenye mvuto mkubwa katika mashabiki wa Afrika mashariki jambo linalomfanya kuitwa kufanyakazi za mziki kila wakati

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII AMANI ALIFUNGA NDOA KISIRI

Msanii wa kike aliyewahi kuvuma nchini kwa jina Amani amefichua kwamba alifunga ndoa kisiri mwaka jana. Akizungumza na wanahabari, Amani amesema kuwa alifunga ndoa na ...
Skip to toolbar