ASLAY AFICHUA SIRI YA KUTOA MZIKI MZURI KILA MARA

0

Msanii wa Bongo Flava, Aslay amefichua kitu kinacho mfanya kuhakikisha anafanya mziki mzuri kila wakati.

Aslay anasema hatua ya familia yake kumuunga mkono katika safari yake ya kimziki inamfanya kuwa na hasira ya kufanya mziki mzuri kila mara anapoingia studio.

Aslay amesema iwapo wasanii wote watakua na msukumo wa aina yake kimziki, basi huenda wakatoa kazi nzuri zaidi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar