ANN KANSIIME : BADO NIKO “SINGLE”!! SABABU HII.

0

Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Uganda, Anne Kansiime ansema bado hajakata tamaa ya kupata  mwanaume atakayemuoa.

Kansiime amefichua kuwa amekuwa akipata changamoto kubwa kwenye maisha yake upande wa mahusiano kutokana na umaarufu wake.

Kansiime anadai tangu mwaka jana amwagane na mchumba wake wa muda mrefu Gerald Ojok,  amekuwa akitongozwa na wanaume wengi lakini kila aliyemkubalia hakukaa na yeye muda mrefu.

Kansiime amedai kuwa wanaume wengi aliowapata wamekuwa wakimtoroka ndani ya wiki na wengine wamekuwa wakimuacha bila hata kutoa sababu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RUBY AELEZA KINACHOMVUTIA KWA JUX

Msanii wa kike katika tasnia ya Bongo Flavaz nchini Tanzania, Ruby amefunguka kuhusu kitu kinachomvutia zaidi katika mtindo wa uimbaji wa msanii Jux. Ruby anasema ...
Skip to toolbar