ANAYETUHUMIWA KUMUUA ‘RADIO’ AKAMATWA

0

Polisi wa Mji wa Katwe nchini Uganda, wamemkamata kijana mmoja kwa jina Godfrey Wamala, ambaye anatuhumiwa kuhusika na shambulizi lilopelekea kifo cha msanii Mowzey Radio wa kundi la Radio & Weasel.

Wamala mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa katika eneo la Kyengera nchini Uganda sehemu anayoaminika alikua ameenda kujificha kwa siku kadhaa nyumbani kwa rafiki yake.

Wamala amehamishiwa mjini Entebbe ambapo Polisi wamesema watamfungulia mashtaka ya mauaji.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

VIN DIESEL AMALIZA BEEF NA THE ROCK.

Inaonekana Vin Diesel amemaliza beef yake na Dwayne ‘The Rock’ Johnson. Hili limejiri baada ya Vin Diesel kutoa kauli kuwa staa ‘The Rock’ anatisha sana ...