AMIN AKATAA UCHAWI NDIO UNAOMZIMA KIMZIKI

0

Msanii wa muziki wa bongo fleva Amini Mwinyimkuu maarufu Amin, amezungumzia madai ya kurogwa ili asitoke kimziki nchini Tanzania licha ya kuwa msanii mwenye kipaji kikubwa.

Amini amesema haamini kama kuna kurogwa katika mziki na akaelezea kutofikia viwango flani kimziki kama sababu kuu inayofanya kutosonga kimziki.

Amin ameeleza kuwa iwapo atatimiza viwango hivyo atakuwa na umaarufu kama wasanii wengine kwenye tasnia ya bongo flava nchini Tanzania.

Hata hivyo, Amin amefichua kuwa bado anafanya show vijini.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar