AMARILA ABADILISHA USIMAMIZI WAKE

0

Taarifa za punde zinadai msanii Amarila amebadilisha management yake na kujiunga na management mpya kwa jina Hustle Nation.

Kulingana na na taarifa katika mitandao ya kijamii, Amarila amejiunga na Hustle Nation ambayo pia inasimiamia wasanii Spizzo na Bandanah miongoni mwa wasanii wengeni.

Kufikia sasa bado kambi ya Amrila hijatoa sasbabu rasmi ya kubadili manegemnt .

Amrila ni iongoni mwa wasanii wachnga kutoka kanda ya pwani wanaokuja kwa kasi katika tasnia ya mziki wa kizazi ambapo kwa sasa ametoa vibao kadha vilivyovuma kama “chocha”, “order zee.”

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar