ALIKIBA HAENDI FUNGATE: SABABU NI HII

0

Staa wa mziki wa Bongo Flavaz Ali Kiba amelazimika kuahirisha safari ya fungate yake licha ya kugharamiwa, baada ya sherehe ya pili ya harusi yake jijini Dar siku kadhaa zilizopita.

Inasemekana Ali Kiba amelazimika kueleka nchini Afrika kusini kutia saini mkataba wa kibiashara na kampuni moja ya vinywaji ya Afrika kusini, ambayo atakua balozi wa kinywaji chake MoFaya kanda ya afrika mashariki.

Waziri wa madini na utalii nchini Tanzania Hamisi Kigwangalla alijitolea kugharamia fungate ya Ali Kiba nchini Italia, kama zawadi baada ya Ali Kiba kufunga ndoa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar