ALIKIBA AFUNGA NDOA MOMBASA

0

TAARIFA KUHUSU NDOA YA ALIKIBA MOMBASA

Taarifa za kuaminika ni kwamba Ali Kiba wikendi hii msanii Ali Kiba kutoka Tanzania alifunga ndoa na mwanadada mmoja kwa jina Aminah Rekish.

Mwanadada huyu anadaiwa kuwa mfanyikazi wa serikali ya kaunti ya Mombasa.

Inaarifiwa kuwa wiki ijayo April tarehe 19 kunatarjiwa kufanyika hafla nyengine jijini Mombasa na baadaye sherehe nyengine nchini Tanzania nyumbani kwa kina ali kiba Tabata Dar Es Salam.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

TOTTI AFICHUA MIPANGO YAKE YA KIMZIKI.

Baada ya kumaliza Media Tour yake jijini Nairobi, msanii Totti kutoka hapa pwani anawataka mashabiki wake kutarajia mazuri zaidi. Akizungumza jijini Nairobi, Totti amesema ana ...
Skip to toolbar