ALI KIBA KUVUKISHA MWAKA JIJINI MOMBASA

0

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Ali Kiba ameweka wazi mipango yake ya kufungia mwaka 2018.

Sasa ni rasmi msanii Ali Kiba atavuka mwaka akiwa jijijni Mombasa.

Katika ratba ya mipango aliyofichua, Ali Kiba amepanga kuachia kazi mbili mpya kwa mpigo pamoja nakuingiza kinywaji chake cha Mo Faya sokoni kabla ya mwaka wa 2018 kutamatika.

Mbali na kushiriki tamasha la FIESTA tarehe 22 nchini TZ, Ali Kiba ameahirisha show aliyokua amepanga kufanya na msanii Yvonne Chaka Chaka kutokea Afrika Kusini na Christian Bella hadi mwaka ujao mwezi wa wapendao February.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar