ALI KIBA & BARAKA DA PRINCE KUFANYA HILI KESHO!

0

Wasanii Baraka The prince na Ali Kiba kutoka Tanzania wametangaza kesho siku ya jumanne kama tarehe rasmi ya kutoka kwa collabo yao

Baraka The prince na Ali Kiba ambao wote wamesajiliwa na kampuni ya Rockstar 4000 wanasema wimbo wao unajulikana kwa jina la “Nisamehe”.

Jana kupitia ukurasa wake wa Instagram, Baraka Da Prince ameweza kutangaza kuwa Jumanne ya Tarehe 13 ndio siku rasmi ya kutoka kwa ngoma hiyo.

Baraka Da Prince amefichua kuwa wimbo huo ulifaa kutoka siku za nyuma wawili walipo perform kwenye jukwaa la Fiesta lakini mambo yalikwenda tofauti na haikuwezekana.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND AOMBA MSAMAHA.

Hatimaye Diamond Platnumz amefinyaa na kuamua kuomba msamaha uma, kufuatia kitendo chake cha ku’post video ya utupu katika mitandao ya kijamii. Katika ujumbe wake wa ...
Skip to toolbar