ALI KIBA AZUA MSHAWASHA. MASHABIKI MATE YADONDOKA!

0

Msanii wa muziki wa BongoFlavaz nchini Tanzania, Ali Kiba ameibua msisimko miongoni mwa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya baada ya kusambaa kwa kipande cha video kikimuonesha akiwa location aki shoot video.

Akipiga stori na waandishi wa habari, Ali Kiba amesema kwamba kuna ngoma nyingi mpya zinakuja baada yakuachia video ya ngoma yake aliyoifanyana kundi la Kings Music kwajina “Mwambie Sina”.

Kipande hicho cha videoakiwa location, kilianza kusambaa mapema wiki hii baada ya show yake ya wikendi pamoja na Kings Music Crew ambayo ilifanyika eneo la Kahama 24-11-2018 nchini Tanzania.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar