Video ya wimbo mpya wa staa wa Bongo Ali Kiba umefikisha views milioni 1 ndani ya siku saba tangu iwekwe kwenye mtandao wa Youtube.
Hii haijawahi kutokea kwa msanii yeyote wa Afrika kufikisha idadi ya views milioni 1 ndani ya wiki moja aliye chini ya label ya Sony Music.
Sony music imejitokeza kumsifu na kujivunia hatua hii kwa msanii Ali Kiba katika mtandao wa Twitter.
No comments