AKOTHEE AWASUTA WASANII WA INJILI

0

Msanii wa kike kutoka kanda ya pwani Akothee amewashangaza wengi mitandaoni baada ya kudai wasanii wengi wanaoimba nyimbo za injili nchini ni wanafiki wakubwa.

Akothee anasema hiyo ndio sababu kuu inayowafanya wengi wao wanajipata katika scandals wasizotarajia katika maisha yao ya ukristo.

Akothee amefichua kuwa akianza mziki, alifikiria kufanya mziki wa injili lakini aligadhabishwa na unafiki wa baadhi ya wasanii wa injili, jambo lililomfanya kuamua kufanya mziki wa kidunia tu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar