AKOTHEE APANGA KUFANYA HILI LA KUSHTUSHA

0

Huenda zaidi ya mashabiki elfu 60 wakakosa utamu wa kufuatilia maisha ya msanii wa kike kutoka kanda ya pwani Akothee katika mitandoa ya kijamii.

Hii ni baada ya akothee kutangaza kuwa karibuni, anapanga kufuta akaunti yake ya mtandao wa Instagram.

Akothee amejizolea mashabiki wengi katika mtandao wa Instagram kutokana na tabia yake ya kupost picha za maisha yake ya kibanfsi na kuanika maisha yake ya ghali.

Akothee ambaye amekataa kutoa sababu ya maamuzi yake, amewashukuru mashabiki wote wanaomfuata katika mtandao wa Instagram

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

ROMA AZUNGUMZIA TETESI KZA KUMCHANA BABU TALE.

“….Boss amemganda Dangote, ameisahau Tip Top….” Huu ni mstari unaopatikana katika wimbo mpya wa Roma alioshirikisha Darasa na Jos Mtambo. Mstari huu unaendelea kuzua mshawasha miongoni ...
Skip to toolbar