AFUNGWA JELA KWA KUJITEKA NYARA

0

Mahakama ya Mji wa Kampala nchini Uganda, imempata na hatia mwanamke mmoja kwa jina Amina Mirembe (23) baada ya kukiri kosa la kujiteka nyara makusudi kwa lengo la kupima upendo wa mume wake.

Gazeti la Daily Monitor, limeripoti kuwa mwanamke huyo amehukumiwa kwa kutoa taarifa za uongo kwa Polisi kuhusu kutekwa kwake

Hakimu wa Mahakama Patrick Tulisana alimhukumu kwenda jela mwaka mmoja na kutoa kiasi cha shilingi za Uganda 300,000 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi 7000/= pesa za Kenya .

Comments

comments

Newsuganda

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

EDDY KENZO AENDELEA KUOGA MATUSI

Nchini Uganda, Msanii Eddy Kenzo anaendelea kuogelea matusi ya baadhi ya mashabiki wa mziki wa Uganda katika mitandao ya kijamii, baada ya ku’post picha ambayo ...
Skip to toolbar