50 CENT NA THE GAME WAMALIZA BEEF YAO.

0

Rapa 50 Cent na The Game wamemaliza tofauti zao zilizoanza zaidi ya miaka 12 iliyopita wakati wasanii hawa walipokua wanaunda kundi moja la G-Unit.

50 Cent na The Game walikutana kwenye club moja mjini Los Angeles’ Ace of Diamonds na The Game amesema wazi kuwa yupo powa na 50 Cent.

Mambo yaliyotokea ni miaka 12 iliyopita, hakuna mtu ana muda na mambo ya zamani tena.” alisema The Game.

Kwa upande wake 50 Cent amesema anaelewa kilichotokea kati yao lakini hajawahi kumtakia mabaya The Game.

Tulikuwa eneo moja bar hatukuwa na tatizo lolote, namtakia mema kila wakati” amesema 50 cent.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

TANZIA: LADY JAY DEE AMPOTEZA MAMAKE

Msanii wa kike nchini Tanzania Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee amefelewa na mamake mzazi. Bi.Martha Mbibo, mamake Lady jay Dee amefariki dunia baada ya ...
Skip to toolbar