DIAMOND NA TANASHA WAMUABISHA MREMBO LYNN MITANDAONI.

0

Msanii Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania amewashangaza wengi mitandaoni, baada ya kuanika  mawasaliano yake ya ndani na mwanadada mmoja kwa jina Lynn, anayedaiwa kuwa mpenzi wake mpya.

Katika mawasiliano hayo, mwanadada Lynn anaonekana akimtongoza Diamond na kumlazimisha kuingia katika mapenzi naye jambo ambalo Diamond anaonekana kukataa.

Mapema wiki hii kulisambaa uvumi kwamba Diamond alikua kapata mpenzi mpya baada ya Lynn ku’post picha akiwa katika kitanda kinachofanana na cha Diamond ambapo mpenzi wake mpya Tanasha alikua kapiga picha nacho pia.

Akizungumzia hatua ya Diamond, Tanasha Donna amemkemea Lynn kw akile alichokitaja kama kutafuta kiki za kipuzi na jina la mpenzi wake Diamond Platnumz.

Kufikia sasa Lynn hajajibu lolote.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JUX MBIONI AKITAFUTA HILI

Msanii wa RnB nchini Tanzania Jux amnaema sasa anatamani kupata mtoto. Muimbaji huyo ambaye amekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Vanessa Mdee kwa muda sasa, ...
Skip to toolbar