Latest
Akeelah avutiwa na Masauti
Msanii kutoka hapa pwani Akeelah amemtaja msanii mwenza Masauti kama msanii mwenye utunzi wa ajabu unao mvutia.
Akeelah anasema mda mwingi hujipata akipiga kelele na...
Justin Bieber Akataa Kutumbuiza Katika Shows 70 Alizozipanga. Sababu Ni Hii...
Justin Bieber amesitisha ratiba yake ya “shows” alizokua amepangiwa kutumbuiza, kufuatia kudorora kwa hali ya kiafya ya akili yake.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Beiber...
Yaliyomo
Wakamatwa Baada Ya Kumuibia Simu Jaji Mahakamani
Watu wawili huko Nairobi wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuiba simu ya jaji pamoja na televisheni ya mahakamani.
Wawili hao ambao ni wafanyikazi wa...
Maonyesho Ya Maisha Ya Bob Marley Nchini Uingereza
Familia ya nguli wa mziki wa Reggae Bob Marley wamefungua rasmi maonyesho ya gwiji huyu huko jijini London nchini uingereza.
Maonyesho hayo ambayo yamepewa jina...
Burudani
Aujiua Kwa Kitanzi Baada Ya Kumkatakata Kwa Panga Mkewe Kilifi
Jamaa mmoja kutoka maeneo ya Milore kaunti ya Kilifi amejitia kitanzi baada ya kumuua mkewe kwa kumkatakata kwa panga.
Akithibitisha kisa hicho naibu chifu wa...
Alazwa Hospitali Baada Kujizuia Kunyamba Kwa mda Mrefu
Star mmoja wa mziki nchini Brazil amezua gumzo katika mitandao ya kijamii nchin humo, baada ya kubainika kwamba alilazimika kulazwa hospitali, baada ya kupata...
Kwetu
MAREKANI: Watu 19 Wafariki Katika Mkasa Wa Moto.
Watu 19 wamefariki huku wengine 32 wakijeruhiwa katika mkasa wa moto kuteketeza jumba moja la makaazi jijini New York nchini Marekani.
Miongoni mwa waliofariki ni...
Polisi Ajiua kisa mshahara wake wa December ulichelewa kuingia.
Afisaa mmoja wa polisi huko Kakamega amejitoa uhai kisa mshahara wake wa mwezi wa December ulichelewa kuingia.
Kulingana na OCPD wa Kakamega ya kati David...
Burudani
Ughaibuni
Malimwengu
Julia Fox Afuta Picha Za Kanye West Instagram
Gumzo limezuka mitandaoni baada ya mpenzi mpya wa Rapper Kanye West muigizaji Julia Fox, kufuta picha zote ambazo yuko Pamoja na rapper huyo kwenye...